MAREKANI YASITISHA UFADHILI WA USALAMA WA UN KWA HAITI
Marekani imesitisha mchango wake wa dola milioni 13.3 kwa mfuko wa umoja wa mataifa UN unaofadhili kikosi cha usaidizi wa usalama nchini Haiti, ikiwa ni sehemu ya juhudi za Rais Donald Trump kupunguza msaada wa nje. Baraza la Usalama la UN liliidhinisha kikosi hicho mnamo Oktoba 2023 kusaidia Haiti kupambana na magenge ya uhalifu. Hata […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































