SERIKALI YACHUNGUZA VURUGU NYERI
Serikali imeanzisha uchunguzi katika vurugu zilizoshuhudiwa kwenye kanisa moja kaunti ya Nyeri wakati wa ibada iliyokuwa ikihudhuriwa na aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua na kusababisha hofu na uharibifu wa mali. Kupitia taarifa, Waziri wa usalama wa kitaifa Kipchumba Murkomen amesema Inspekta mkuu wa polisi Douglas Kanja amethibitisha kuanzishwa kwa uchunguzi, naye naibu rais Kithure Kindiki […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































