STARLETS WAONYWA DHIDI YA KUIDHARAU TANZANIA

Kipa wa kikosi cha Rising Starlets Christine Adhiambo, amewataka wachezaji wenza kuwa makini wanapojiandaa kwa mechi ya raundi ya 3 ya kufuzu dimba la kombe la dunia la wanawake wasiozidi umri wa miaka 20 yaani FIFA U20 Women’s World Cup, akisema mechi hiyo haitakuwa rahisi. Adhiambo ameonya kuwa tofauti na wengi wanavyodhani, kikosi cha Tanzania […]

AFCON 2027: SOKA YA KENYA KUTATIZIKA

Klabu za hapa nchini zitalazimika kusaka viwanja mbadala kwa mechi zao za ligi kutokana na mpango wa serikali kufunga viwanja vikuu vya Nyayo na Kasarani kupisha ukarabati ili kuafikia viwango vya viwanja vya soka vya Morocco kabla ya dimba la AFCON mwaka ujao. Dimba hilo la mataifa bingwa barani Afrika litaandaliwa na mataifa matatu ambayo […]

OTICHILLO ACHUNGUZWA KUHUSU SHEREHE GHALI

Gavana wa Vihiga Wilber Otichillo amejipata kwenye darubini ya maseneta kuhusiana na tuhuma za kutumia shilingi milioni 5 kwa sherehe za kuzindua makazi rasmi ya spika wa bunge la kaunti hiyo, matumizi ambayo mkaguzi wa hesabu za serikali ameyataja kuwa ubadhirifu na haramu. Kamati ya uhasibu wa fedha za kaunti katika bunge la seneti chini […]

SERIKALI KUU, KAUNTI KUSHIRIKIANA KUTOA BASARI

Serikali kuu na zile za kaunti zimetia saini makubaliano kuhusu usambazaji wa basari za kufadhili elimu ya wanafunzi, hatua itakayohakikisha kila mwanafunzi kutoka familia isiyojiweza anafikiwa na ufadhili wa serikali. Haya ni kulingana na Rais William Ruto, akisisitiza haja ya ushirikiano huo licha ya basari hizo kuwa jukumu la serikali kuu, akisema ushirikiano huo umeidhinishwa […]

KAGWE ATOA AGIZO KWA WAKULIMA WA MAHINDI

Wakulima wa mahindi nchini wamepewa muda wa siku 30 kuachilia mahindi yao sokoni la sivyo serikali iagize mahindi kutoka nje ya nchi bila ushuru kwa lengo la kukabili upungufu wa bidhaa hiyo. Ni agizo lililotolewa na Waziri wa Kilimo Mutahi Kagwe, akisema serikali imetoa kipaumbele kwa mahindi ya wakulima wa humu nchini ili kutathmini kiwango […]

RUTO: RIPOTI YA DHULUMA ITAZINGATIWA

Rais William Ruto ametoa hakikisho kuwa serikali itachukua hatua mwafaka kuhusu mapendekezo ya ripoti ya jopokazi la kiufundi kuhusu dhuluma za kijinsia nchini yakiwemo mauaji dhidi ya wanawake. Akitoa hakikisho hilo, Rais amesema mapendekezo hayo yanahitaji hatua za haraka kuchukuliwa, akisema wanawake na wasichana ndio waathiriwa wakubwa wa dhuluma za kijinsia licha ya jinsia zote […]

Intertops Online Online gambling refers to any type of gambling that is conducted on the internet. This includes virtual poker, casino roobet online gambling, and betting on sports. Online ticketing for the Liechtenstein International Poker Tournament was the first online gambling site to be opened to the public in October 1994. This was the first […]

The Increase of Mobile Gambling Enterprises: A Practical Way to Gamble on the Go

As technology remains to advance, the world of on-line gaming has actually seen a significant shift towards mobile platforms. With the raising appeal of smartphones and tablet computers, mobile online casinos have actually become a practical and easily accessible means for players to appreciate their preferred casino video games anytime and anywhere.

WENGER AMSIFU MICHAEL CARRICK WAMANCHESTER UNITED

Aliyekuwa kocha wa Arsenal Arsene Wenger ameonyesha kuvutiwana kazi anayofanya Michael Carrick katika klabu ya ManchesterUnited tangu ateuliwe kuwa kocha wa muda. Carrick aliteuliwa mapema mwezi huu kufuatia kufutwa kazi kwaRuben Amorim na alianza majukumu yake katika mazingira magumu,akicheza mechi zake mbili za kwanza dhidi ya Manchester City naArsenal, timu bora za Ligi Kuu England. […]

OKIDI AWAONYA SHABANA KUEPUKA MAKOSA YA GHARAMA

Kocha wa Shabana Peter Okidi amewataka wachezaji wake kuinukana kuchukua jukumu katika mechi zilizosalia za Ligi Kuu ya Kenyaiwapo wanataka kudumisha matumaini yao yanayofifia ya kutwaaubingwa msimu huu. Okidi amesema kikosi chake bado kina uwezo wa kushindana navigogo wa ligi, lakini akaonya kuwa makosa ya kizembe na kupotezapointi muhimu huenda yakagharimu timu pakubwa wakati huuambapo […]