GOR WAREJESHA UONGOZI WA POINTI 6 KILELENI
Miamba wa soka nchini Gor Mahia walirejesha uongozi wa pointi 6 kileleni mwa jedwali la ligi kuu ya soka nchini, KPL, kufuatia ushindi wao wa mabao 3-0 dhidi ya wanabenki wa KCB. Ushindi wa Green Commandos ukijiri baada ya AFC Leopards kupunguza mwanya wa pointi kwa kuwachabanga Posta Rangers 2-1, uliihakikishia Gor mfululizo wa mechi […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































