TRILIONI 5 ZA HAZINA YA MIUNDOMBINU YAIBUA HOFU
Hofu imeibuka kuhusu kubuniwa kwa hazina ya kitaifa ya miundombinu ya thamani ya shilingi trilioni 5, watalaam wakishinikiza marekebisho ya mswada huo wa mwaka 2025-26 ili kuimarisha uwazi na uwajibikaji. Akiwa mbele ya kamati ya fedha katika bunge la kitaifa, afisi ya mdhibiti wa bajeti ya serikali imeonya kuwa hazina hiyo imebuniwa kama taasisi ya […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































