KIZAAZAA CHA EPL, LIVERPOOL WAUMWA NA WOLVES
Ushindani mkali unatarajiwa leo usiku katika mechi za ligi kuu ya soka nchini Uingereza, EPL, jumla ya mechi 5 zitakaposakatwa. Darubini itaelekezwa kwenye pambano kati ya Arsenal ugenini dhidi ya Brighton, na Manchester City nyumbani dhidi ya Nottingham Forest. Arsenal wanaoongoza ligi wakiwa pointi 5 mbele ya City, watakuwa na fursa ya kufungua pengo la […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































