FAMILIA KIBRA YATAKA HAKI BAADA YA MWANAMKE KUCHOMWA MOTO KIBRA
Familia moja katika eneo la Gatwikira huko kibra inataka haki baada ya ndugu yao kudaiwa kushambuliwa kutokana na msimamo wake wa kisiasa. Maureen Matsili ambaye ni mama wa watoto wanne, anadaiwa kushambuliwa na kuchomwa moto Mei 18 na mtu anayemfahamu kutokana na kuunga mkono kauli mbiu ya “Two Term” katika eneo hilo. Polisi wa Kibra wanaendelea kuchunguza […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































