UTAFITI WA KNUT WAFICHUA WALIMU WANAKABILIWA NA MADENI
Utafiti mpya wa Muungano wa KNUT umefichua kuwa walimu wengi nchini wanakabiliwa na matatizo makubwa ya kifedha, msongo wa mawazo na uchovu wa kazi. Ripoti ya ustawi na ushiriki wa walimu imeonyesha kuwa asilimia 97 ya walimu wanaishi kutegemea mshahara wa mwezi bila kuwa na akiba yoyote mwishoni mwa mwezi. Aidha, asilimia 92 ya walimu walioshiriki katika […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































