GAVANA NATEMBEA AWATAKA WAKULIMA KUTOUZA MAHINDI YAO KWA MAWAKALA WATAPELI
Wito umetolewa kwa Wakulima wa mahindi kutoka kaunti ya Transnzoia kutouza mahindi yao kwa mawakala ambao watawapunja. Gavana wa kaunti hiyo George Natembea amesema kuwa serikali yake imeweka mikakati ya kuwekeza katika kiwanda cha kujongeza mahindi thamani akiongeza kuwa wakulima watapata faida ya mazao yao. Wakulima wanapendekeza kilo 90 za mahidi kuunzwa kwa shilingi 6000 […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































