UPINZANI WAPINGA ‘MIRADI NDANI YA MRADI’
Vipengee kadhaa kwenye mswada wa kifedha wa mwaka wa 2025-26 vimeendelea kuibua ukosoaji dhidi ya serikali, viongozi wa upinzani sasa wakiwataka wabunge kutoidhinisha vipengee hivyo. Miongoni mwa vipengee vyenye utata ni pendekezo la kutaka bodi inayosimamia matozo ya nyumba za bei nafuu itumie matozo hayo kuwekeza kwenye miradi tofauti kinyume na sheria. Wakizungumza katika kaunti […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































