OLEKSANDR USYK AWEKA WAZI KICHOCHEO CHAKE
Bingwa wa masumbwi ulimwenguni Oleksandr Usyk amesema anachochewa pakubwa na nidhamu na wala si motisha kuendelea kucheza mchezo huo, baada ya kumbwaga Daniel Dubois katika uwanja wa Wembley jijini London Uingereza kwenye pigano la Jumamosi. Ufanisi huo wa Jumamosi umemfanya raia huyo wa taifa la Ukraine mwenye umri wa miaka 38 kuwa bingwa dunia kwa […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































