GACHAGUA: MIMI NDIYE KIGOGO WA UPINZANI
Aliyekuwa naibu Rais Rigathi Gachagua ametanagaza kuwa ndiye yuko katika nafasi nzuri ya kuwa kigogo wa upinzani na kumenyana na Rais William Ruto kwenye uchaguzi mkuu ujao. Akizungumza katika jimbo la Boston nchini Marekani, Gachagua amesema ana uwezo wa kumfanya Rais Ruto kutochaguliwa kwa muhula wa pili. Aidha, amefichua kuwa upinzani utaweka wazi atakayepeperusha bendera […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































