TUSKER YATEMA WACHEZAJI TISA
Tusker FC imetangaza rasmi kuachana na wachezaji tisa huku klabu hiyo ikianza kukisuka upya kikosi chake kabla ya msimu mpya. Wachezaji wanaoondoka katika kikosi cha Ruaraka ni pamoja na John Byamukama, James Kibande, Luke Namanda, David Odoyo, Boban Zirintusa, Deogratious Ojok, Mike Oduor, na Lawrence Luvanda, ambao wote wanaondoka baada ya kandarasi zao kuisha. Zaidi […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































