KAWU: MGOMO WETU BADO UPO

Muungano wa wafanyakazi wa viwanja vya ndege KAWU umesisitiza kuwa mgomo wao wa kuanzia tarehe 1 mwezi ujao tarehe ungalipo iwapo bodi ya mamlaka ya ndege KAA haitajiuzulu. KAWU ilitoa notisi ya siku 7, ikisema imekosa Imani na utendakazi wa bodi hiyo kutokana na madai kwamba inatoa nyadhifa za ajira kwa upendeleo au hata kupokea […]

UHURU KUONGOZA MKUTANO WA JUBILEE

Rais mstaafu Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuongoza mkutano wa kitaifa wa wajumbe wa chama chake cha Jubilee, mkutano unaotazamiwa kutoa mwelekeo wa chama hicho kuhusu uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Duru zimearifu kuwa Kenyatta ameitisha mkutano huo katika maandalizi ya uchaguzi huo, ikiwemo kumtangaza aliyekuwa Waziri wa usalama Fred Matiang’i kama mgombeaji wa urais kwa tiketi […]

NPS YATHIBITISHA KIFO CHA AFISA ALIYEPOTEA HAITI

Huduma ya Kitaifa ya Polisi (NPS) imethibitisha kifo cha afisa wa polisi wa Kenya aliyepotea nchini Haiti wakati akihudumu chini ya kikosi cha kimataifa cha usalama kinachoongozwa na Kenya. Katika taarifa iliyotolewa hii leo NPS imesema kwamba Benedict Kabiru alipotea tarehe 25 Machi 2025 baada ya kushambuliwa kwenye barabara kuu ya Carrefour Paye-Savien eneo la Pont-Sondé katika […]

DCI YAKAMATA KIJANA ALIYEDHALILISHA BENDERA YA TAIFA NYAYO

Maafisa wa upelelezi kutoka Idara ya Upelelezi, DCI, wamemkamata kijana mwenye umri wa miaka 17 aliyetambuliwa kupitia video inayosambaa mitandaoni, akiharibu bendera ya taifa wakati wa mechi ya kandanda katika uwanja wa Nyayo. Tukio hilo limezua hasira miongoni mwa Wakenya wengi, huku viongozi wa usalama wakilaani vikali kitendo hicho na kukitaja kama kosa linalodhalilisha heshima […]

UBOVU WA BARABARA WAWAHAMISHA WAKAZI

Wakaazi wa Syokimau kaunti ya Machakos wanakabiliana na hali mbaya ya barabara inayosababisha msongamano barabarani na kuharibu magari yao huku seneta wa Machakos Agnes Kavindu akiitaka Seneti kuingilia kati na kushughulikia swala hilo. Haya yanajiri huku wamiliki wa nyumba wakilazimika kuhamia kwenye nyumba za kukodi jijini Nairobi ili kujiepusha na barabara mbovu na msongamano. Miongoni […]

MAZUNGUMZO YA MIKOPO YA IMF YAANZA

Uhaba wa fedha katika serikali kuu ili kufanikisha miradi mbali mbali kwa wakati unalifanya taifa kwa mara nyingine kugeukia Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa matumaini ya kufungua mpango mpya unaofadhiliwa na mkopeshaji huyo wa kimataifa. Wafanyakazi wa IMF wanatarajiwa kuwasili nchini leo kwa mazungumzo na serikali ya sasa, ambayo yataendelea hadi Oktoba 9. Wafanyakazi […]

MWANGA WA USALAMA KERIO

Walimu katika bonde la Kerio wamepongeza operesheni  ya usalamainayoendelea  katika maeneo hayo  wakisema kuwa hatua hiyoimerejesha  imani  miongoni mwa wanafunzi na  kufufua mahudhurioshuleni. Katibu wa muungano wa walimu KNUT, tawi la Elgeyo Marakwet JohnChebari amesema kuwa zaidi ya shule 35 ambazo zilikuwa zimefungwa aukuathirika kwa visa vya uhalifu zinatarajiwa kurejelea shughuli za kawaida. Hata hivyo, Chebari […]

EKITIKE AOMBA MSAMAHA KWA MASHABIKI

Hugo Ekitike ameomba msamaha kwa mashabiki wa Liverpool baada ya kutolewa nje kwa kadi nyekundu kwa kuvua jezi yake kufuatia mshindi wake wa mwisho wa Kombe la Ligi dhidi ya Southampton — Mchezaji huyo mpya mwenye umri wa miaka 23 alicheza pasi ya Federico Chiesa zikiwa zimesalia dakika tano kabla ya mechi kumalizika kwa ushindi […]

KOCHA APINGA MADAI KUHUSU WACHEZAJI WAKE

Kocha mkuu wa timu ya Kenya Harlequins Simon Odongo amekanusha madai kuwa zaidi ya wachezaji 35 ambao kandarasi zao zilikatishwa ni kwa sababu ya kushindwa kuichezea klabu hiyo wakati wa Kabeberi 7s katika mzunguko wa Kitaifa wa Sevens. Badala yake, alisingizia daftari lililotokana na mzozo wa kimkataba na malipo katikati ya mzozo. Mtaalamu huyo wa […]

NSL YAPATA UDHAMINI

Wimbi la matumaini linazidi kutanda katika Ligi Kuu ya Kitaifa (NSL) baada ya kupata udhamini wa Ksh 18 milioni siku chache kabla ya msimu wa 2025-26 kuanza wikendi hii, Septemba 27-28. Mkataba huo, ambao unaelekeza Ksh5 milioni kwa kila klabu kati ya tatu—3K FC, Kisumu All Stars, na Migori Youth—pamoja na Ksh1 milioni za bidhaa, […]