SERIKALI YAWAONYA WAHADHIRI WANAOGOMA
Serikali imewataka wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma wanaogoma kwa wiki moja sasa kurejea kazini la sivyo wachukuliwe hatua za kinidhamu. Waziri wa elimu Julius Ogamba, amesema mgomo huo ni ukiukaji wa amri ya mahakama iliyofutilia mbali, akiongeza kuwa tayari serikali imetoa shilingi bilioni 2.5 ili kutatua malalamishi yao. Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































