POLISI WAANZA MSAKO DHIDI YA WALIOKOSEA HESHIMA BENDERA
Tukio la vijana wawili raia wa Somalia kuidhihaki bendera ya Kenya wakati wa mechi ya soka katika uwanja wa Nyayo wikendi iliyopita limechukua mkondo wa kidiplomasia, ubalozi wa Somalia humu nchini ukilazimika kuomba msamaha. Kwenye tukio hilo ambalo limetawala mijadala kwenye mitandao ya kijamii, vijana hao walinaswa kwenye video wakiikanyaga bendera ya Kenya na kuirusha […]
English 








































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































