WAATHIRIWA CHESONGOCH WASALIA KAMBINI

Familia za watu 39 walioangamia kwenye mkasa wa maporomoko ya ardhi katika eneo la Chesongoch kaunti ya Elgeyo Marakwet zinajiandaa kuwazika wapendwa wao huku wengi wa waathiriwa wakiendelea kuishi katika kambi ya muda kufuatia kuharibiwa kwa makazi yao. Kwa mujibu wa gavana wa kaunti hiyo Wesley Rotich, zaidi ya familia 100 zimehamishiwa katika maeneo yaliyo […]

KENYA KWANZA, DAP-K ZAVAANA MALAVA

Mirengo pinzani ya kisiasa katika eneo bunge la Malava kaunti ya Kakamega imeimarisha kampeni kwa wagombeaji wao katika uchaguzi mdogo eneo hilo, huku mrengo unaomuunga mkono mgombeaji wa chama cha DAP-K Seth Panyako ukiibua madai ya njama ya kuvuruga uchaguzi huo. Ukiongozwa na seneta wa kaunti hiyo Boni Khalwale na naibu kinara wa DAP-K George […]

UPINZANI WAMLIKA IEBC MBEERE NORTH

Muungano wa upinzani umeibua madai kwamba tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC inawasajili wapiga kura wapya katika eneo bunge la Mbeere North kinyume na sheria, ikizingatiwa kuwa eneo hilo linajiandaa kwa uchaguzi mdogo. Kulingana na upinzani ukiongozwa na kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka, hatua hiyo ya IEBC inalenga kuiba kura kwenye uchaguzi huo mdogo […]

KANJA AWAHIMIZA VIJANA KUJIUNGA NA POLISI

Maelfu ya vijana wametakiwa kujitokeza kushiriki zoezi la usajili wa makurutu wa kujiunga na idara ya huduma za polisi NPS linalofanyika leo, zikiwa ni siku 2 baada ya mahakama kuonoa amri ya kusitisha zoezi hilo. Inspekta mkuu wa polisi Douglas Kanja, amesema makurutu 10,000 watasajiliwa katika zoezi hilo, akionya kuwa yeyote atakayejihusisha na ulaji au […]

Apostas Esportivas na Roleta Francesa

A roleta francesa é um dos jogos de cassino mais populares do mundo. Com sua origem na França, a roleta francesa é conhecida por suas regras únicas e emocionante jogabilidade. Neste artigo, vamos explorar o mundo da roleta francesa e discutir os melhores bônus disponíveis para os jogadores. Características e Principais Pontos da Roleta Francesa […]

Secrets d’experts pour dominer le Three Card Poker sur Pointeduraz

Secrets d’experts pour dominer le Three Card Poker sur Pointeduraz En été, rien de tel que de profiter d’une partie de Three Card Poker depuis son canapé. Mais avant de miser, il faut choisir un casino fiable. Les spécialistes de meilleur casino en ligne france ont passé des heures à tester chaque plateforme, y compris […]

MWENYEKITI WA KUDHIBITI BIDHAA GUSHI AKAMATWA

Maafisa wa tume ya kupambana na ufisadi nchini – EACC wamemkamata mwenyekiti wa halmashauri ya kudhibiti bidhaa gushi nchini Josphat Gichunge   kwa madai ya kuhusika katika visa kadhaa vya ufisadi Kulingana na taarifa ni kwamba mnamo novemba tarehe 11 Gichunge anadaiwa kumwitisha mwanabiashara  mmoja rushwa ya shillingi millioni tano kwa madai ya kuhusika na bidhaa gushi […]

MWENYEKITI WA IEBC ATOA ONYO KWA WAGOMBEA

Tume ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC imetoa onyo kali kwa wagombea wa viti mbalimbali katika chaguzi ndogo zilizopangiwa kufanyika tarehe 27 mwezi huu, kuwa watachukuliwa hatua kali za kisheria ikiwemo kuondolewa kwenye orodha ya wagombea iwapo watavuruga amani. Akizungumza katika makao makuu ya IEBC hapa jijini Nairobi mwenyekiti wa tume hiyo Erastus Ethokon amekashifu visa vya […]

NCIC: JAMII 5 ZINASHIKILIA 70% YA KAZI KATIKA MASHIRIKA YA SERIKALI

Ukaguzi mpya wa Tume ya Kitaifa ya Uwiano na Utangamano NCIC unaonyesha kuwa makabila matano makubwa zaidi nchini yanaendelea kutawala ajira ya umma, yakidhibiti zaidi ya asilimia 70 ya kazi katika mashirika ya Serikali. Kulingana na ripoti hiyo, jamii za kikuyu, kalenjin, Luo, Luhya na Kamba pamoja na Kisii, Meru na Mijikenda wanachukua asilimia 88 […]

PENGO LA UJUZI LASHUHUDIWA KATIKA HAZINA NA BUNGE

Kenya inakabiliwa na ongezeko la mzigo wa madeni ambao unafikia asilimia 65 ya pato la taifa, mbali na kiwango cha juu cha sasa cha asilimia 55. Kulingana na Benki ya Maendeleo ya Afrika, Hazina na Bunge zinahusika kwa kiasi fulani. Katika ripoti iliyopewa jina la Unpacking the Drivers of Public Debt Dynamics in Kenya, Benki […]