KIJANA MWENYE UMRI WAMIAKA 14 APATIKANA AMEFARIKI NAKURU
Kijana mmoja mwenye umri wa miaka kumi na minne amepatikana akiwa amefariki na mwili wake ukiwa umetupwa kando ya barabara katika kijiji cha sunrise eneo bunge la njoro kaunti ya Nakuru . Mamake kijana huyo amesema kwamba kijana wake alimuaga hapo jana akieleka kanisani akiwa na babake ila hakujerea nyumbani na baadae mwili wake kupatikana mapema hii leo. Kwa […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































