SHEREHE YA PEP YATIWA DOA ULAYA

Meneja wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola aliadhimisha mechi yake ya 100 na klabu hiyo katika dimba la klabu bingwa bara Ulaya kwa kichapo cha magoli 2-0 jibu ugani Etihad na Bayer Leverkusen. Guardiola aliyefanya mageuzi 10 kwenye kikosi kilichopoteza mikononi mwa Newcastle Jumamosi usiku akilenga kuwapumzisha wachezaji mahari akiwemo fowadi Erling Haaland, alijipata […]

AKONNOR AKUBALI KUWAJIBIKIA MATOKEO DUNI

Kocha mkuu wa Gor Mahia Charles Akonnor amesema yuko tayari kuwajibikia matokeo duni yaliyoandikishwa na kalbu hiyo hapo jana, baada ya kupokezwa kibano cha magoli 4-1 na APS Bomet kwenye mechi ya ligi kuu KPL. Kutokana na maandalizi ya Mashemeji Derby wikendi hii, Mghana huyo alifanya mageuzi 9 kwenye kikosi kilichoizamisha Tusker FC 1-0 bila […]

Many people experience stress aid

Adult Intercourse Toys Buy Over Four,000 Grownup Gadgets For Males & Girls Like other panty vibrators SEXTOYSTORESHOPPING.COM, Moxie+ isn’t essentially the most highly effective sex toy out there. Consider getting a wand vibrator if you’re in search of intense sensations. Overall, Moxie+ had an elegant look with minimal seams and a neat look that most […]

JUNIOR STARS WAJIANDAA KUIVAA ETHIOPIA

Kocha wa timu ya taifa kwa wachezaji wasiozidi umri wa miaka 17 William Muluhya, amesema kikosi chake kitatumia ushindi mara 2 katika mechi za awali kama motisha kwenye mechi yao ya mwisho ya makundi dhidi ya Ethiopia hii leo. Licha ya timu zote 2 kufuzu awamu ya semifainali, Stars wanalenga kutwaa ubingwa wa michuano ya […]

DEAFLYMPICS 2025 KUFUNGA MILANGO LEO

Mashindano ya riadha kwa wachezaji wasio na uwezo wa kusikia Summer Deaflympics 2025 yameratibiwa kukamilika rasmi hii leo jijini Tokyo Japan, Kenya ikihitimisha safari yake kwa medali 15. Medali ya mwisho kwa Kenya ilikuwa nishani ya fedha, baada ya David Kipkogei kumaliza katika nafasi ya 2 kwenye mbio za marathon ya wanaume, akiandikisha muda wa […]

WAGOMBEAJI MALAVA WATAKIWA KUKUBALI MATOKEO

Wagombeaji wote 7 wa ubunge katika eneo bunge la Malava wametakiwa kukubali matokeo ya uchaguzi mdogo utakaondaliwa eneo hilo hapo kesho bila kuzingatia matokeo. Ni wito ambao umetolewa na Wakazi eneo hilo, wakisema mshikamano utafanikisha utekelezaji wa maendeleo baada ya uchaguzi huo. Uchaguzi huo umegeuzwa kuwa upimaji wa ubabe wa kisiasa kati ya muungano wa […]

HATMA YA NYARIBO SENETI

Gavana wa Nyamira Amos Nyaribo kwa mara ya 3 ndani ya miaka 3 atategemea bunge la seneti kumwokoa na kumrejesha mamlakani, baada ya kubanduliwa na wawakilishi wadi 23 kati ya 31 wa bunge la kaunti hiyo hapo jana. Spika wa bunge hilo Thaddeus Nyabaro, anatarajiwa kulifahamisha bunge la seneti kuhusu kubanduliwa huko kabla ya seneti […]

BUNGE, SENETI KUJADILI HOTUBA YA RAIS

Wabunge na maseneta wameratibiwa kujadili hotuba ya rais William Ruto kuhusu hali ya taifa aliyotoa wiki jana, hii ikiwa ni siku ya pili baada ya vikao hivyo kuanza hapo jana. Kiongozi wa walio wengi katika bunge la kitaifa Kimani Ichung’wa, ametetea hotuba hiyo, akisema inaambatana na utendakazi wa serikali ya Kenya Kwanza kwa muda wa […]

UAMINIFU WA WAKENYA KWA IEBC KUBAINIKA

Mashirika ya kijamii nchini yameibua hofu kuhusiana na yaliyokitaja kama ongezeko la visa vya vurugu zinazohusiana na uchaguzi, utoaji wazi wa rushwa na maafisa wa serikali kujihusisha na kampeni za chaguzi ndogo za hapo kesho. Kwa mujibu wa mashirika hayo yakiongozwa na Vocal Africa, uchunguzi wa awali umeonyesha kuwa uwezekano wa wizi wa kura kufanyika, […]

NYARIBO ATIMULIWA

Gavana wa kaunti ya Nyamira Amos Nyaribo ametimuliwa mamlakani na wawakilishi wadi ambaowanadai gavana huyo anatumia mamlaka vibaya na ukiukaji wa katiba . Wawakilishi wadi wa kaunti ya Nyamira wamemtimua gavana baada ya kupiga kura 23 kati ya 31 kumuondoa afisini kwa madai ya kutumia afisi yake visivyo ikiwa ni mara yake ya tatu hoja […]