A basic bullet vibrator like this one from Lovehoney is a

Grownup Toys With Discreet Delivery: Your Satisfaction Is Guaranteed! Wild Secrets empowers you to explore sex and sexuality in a secure and welcoming surroundings. We have Australia’s largest assortment of premium intercourse toys SEXIITRINA, and consider sexual pleasure is a traditional, healthy part of life. Whoever you might be and nevertheless you determine, we bring […]

KENYA NA MALASYIA KUENDELEA KUSHIRIKIANA

Rais William Ruto amesema kuwa nchi za Kenya na Malaysia zitaendela kushirikiana katika sekta mbalimbali kwa manufaa ya mataifa hayo mawili . Akizungumza wakati wa kumkaribisha Waziri mkuu wa Malaysia nchini  katika ikulu ya rais hapa Nairobi amesema kuwa mataifa hayo mawali yana diplomasia ya zaidi ya miaka 60 . Huku akisisitiza umuhimu wa kuendeleza […]

WAAKAZI WALALMIKIA UJENZI WA NYUMBA ZA BEI NAFUU MAKONGENI.

Zaidi ya wakaazi 3,000 wa mtaa wa Makongeni hapa jijini Nairobi Nairobi wamelalamikia ubomoaji unaoendelea ili kupisha kujengwa kwa nyumba za bei nafuu kwenye ardhi ya ekari 139. Hata hivyo baadhi ya wakaazi wamelalamikia fidia duni ambayo wanalipwa wakisema fedha hizo hazitoshi kugharamia mahitaji yao huku wengine wakiwa na tumbo joto ya masomo ya wanao […]

KPLC KUZINDUA TEKNOLOJIA MPYA YA KUSOMA MITA

Kampuni ya kusambaza umeme nchini  KPLC imeanza kuzindua teknolojia mpya ya usomaji wa mita iliyoundwa ili kuimarisha ufanisi, usahihi na kasi ya ukusanyaji wa data ya mita. Mfumo huo ambao unafahamika kama (OCR), wa usomaji wa mita huondoa hitaji la kuandika kwa mikono ya nambari za mita na usomaji, badala yake unaruhusu uhakiki wa maonyesho ya mita ili […]

EZE AIMARISHA MATUMAINI YA ARSENAL EPL

Kiungo wa Arsenal Eberechi Eze aliwaonyesha Tottenham Hotspurs Walichokosa walipokosa saini yake mwanzoni mwa msimu na kujiunga na Arsenal, alipofunga mabao 3 kwenye ushindi wa Arsenal wa mabao 4-1 dhidi ya Spurs kwenye debi la North London hapo jana. Vijana wa Mikel Arteta walionyesha ubabe kuanzia kipenga cha kwanza hadi cha mwisho, bao la ufunguzi […]

JUNIOR STARS WAJIANDAA KWA S SUDAN

Timu ya taifa ya soka ya vijana wasiozidi umri wa miaka 17 Junior Stars wanajiandaa kwa mechi yao ya 3 hii leo dhidi ya South Sudan, baada ya ushindi wao wa mabao 2-1 dhidi ya Rwanda kwenye mechi za kufuzu dimba la AFCON kwa wachezaji wasiozidi umri wa miaka 17. Meneja mkuu wa kikosi hicho William […]

NAIROBI UNITED ‘WATAMANI KUSAHAU’ MWANZO CAF

Klabu ya Nairobi United ilianza vibaya awamu ya makundi ya mechi ya mashirikisho ya CAF Confederations, baada ya kutandikwa mabao 3-0 ugenini dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco ugani Stade V Mohammed jana usiku. Naibois waliokuwa wakicheza mechi yao kwanza kabisa katika awamu ya makundi baada ya kufanya vyema katika mechi za ufunguzi, walizidiwa nguvu, […]

WAZIRI MKUU WA MALASYA NCHINI

Ushirikiano wa kidiplomasia na kiuchumi kati ya Kenya na Malaysia unatarajia kuimarika kutokana na ziara ya Waziri mkuu wa taifa hilo Anwar Ibrahim, ambayo inaanza rasmi hii leo baada yake kuwasili hapo jana. Kwa mujibu wa Rais William Ruto aliyempokea Waziri huyo mkuu, Kenya inalenga kujifunza mengi kutoka kwa taifa hilo hasa kuhusiana na masuala […]

GACHAGUA, KINDIKI WAENDELEZA UBABE

Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya uchaguzi mdogo eneo bunge la Mbeere North kaunti ya Embu, serikali na upinzani umeendelea kulaumiana kuhusiana na tuhuma za kupanga vurugu siku ya uchaguzi huo, huku mirengo hiyo ikiendelea kuonyeshana ubabe wa kisiasa. Kwa mujibu wa aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua, serikali imepanga kuwazuia wafuasi wa mwaniaji wa DP […]

MBUNGE AISHUTUMU IEBC KWA VURUGU

Tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC imetakiwa kudhibiti ghasia zinazoshuhudiwa kwenye maandalizi ya chaguzi ndogo katika maeneo mbali mbali, ambazo zimesababisha mauaji ya mtu mmoja katika eneo bunge la Kabuchai na uharibifu wa makazi ya mbunge wa eneo hilo Majimbo Kalasinga. Mwendazake ni mzee mwenye umri wa miaka 70 aliyejeruhiwa kwenye makabiliano wakati wa […]