KAULI YA SHOLLEI
Naibu spika wa bunge la kitaifa Gladys Shollei amehoji kuwa uchaguzi ndogo unaotarajiwa kufanyika maeneo mbalimbali ni mtihiani muhimu kwa makamishina wapya wa tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC walioteuliwa hivi karibuni. Akizungumza na kituo kimoja cha runinga nchini Shollei amependekeza kuwa chaguzi hizo zinawapa maafisa hao wa IEBC fursa ya kuimarisha utendekazi na […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































