MAANDALIZI YA UCHAGUZI MDOGO OLKALAU YAENDELEA

Hatimaye tume ya uchaguzi nchini IEBC imewaidhinisha wagombea 9 wa kuwania kiti cha ubunge wa Olkalau baada ya kukamilisha shughuli ya uhakiki wa nyaraka zao. Miongoni mwa wagombea 9 walioidhinishwa ni  Rechael Wangoi Njoroge wa chama cha PDP, Sammy Kamau Ngodho wa DCP,Samuel Muchina wa UDA, Wilson Kigwa wa Jubilee Abdee Fata Husein ambaye ni […]

UKOSEFU WA MAJI SAFI WAZUA HOFU YA MAGONJWA VIHIGA

Walimu wazazi  na maafisa  wa afya  katika kaunti ya vihiga wanaiomba serikali ya kaunti hiyo kuangazia swala la ukosefu wa maji safi na vifaa bora vya  usafi wa mazingira swla ambalo limekuwa tishio katika shule nyingi eneo hilo ikiwemo shule ya musingi ya kuitukha . Viongozi hao sasa wanaonya kuhusu hatari ya kuongezeka kwa magonjwa […]

RAIA WA MAREKANI WALIOAMBUKIZWA EBOLA WATARAJIWA KUPATA MATIBABU NCHINI

Huku kenya ikiendelea kulinda mipaka zake dhidi ya kusambaa  kwa virusi vya Ebola Rais wa marekani Donald Trump anasema kwamba raia wa marekani walioambukizwa virusi  vya Ebola nchini Demokrasia ya Congo DRC  sasa wataletwa hapa nchini Kenya kwa uangalizi wa matibabu badala ya kurudishwa badala ya kurejeshwa huko marekani. Kulingana na gazeti rasmi la marekani […]

DCI YAMKAMATA  MUSHUKIWA WA MATAMSHI YA UCHOCHEZI MITANDAONI

 Maafisa wa upelelezi wa kesi za jinai DCI wamemkamata mshukiwa anaehusishwa na matamshi ya uchochezi yaliyokuwa yakisambaa mitandaoni. Katika taarifa DCI imesema Evans Onyango Kawala maarufu kama Kidero Jasuba amekamatwa katika eneo la Shujaa Mall mtaani Kayole jijini Nairobi. Kulingana na DCI mshukiwa huyo mwenye umri wa miaka 33 anaendelea kuzuiliwa akisubiri kufikishwa mahakamani hapo […]

COTU IMEITAKA SERIKALI KUONDOA USHURU KWA WAFANYAKAZI WA KIPATO CHA CHINI

Chama cha  Wafanyakazi nchini COTU limeitaka serikali kutoa afueni ya ushuru kwa wafanyakazi wa kipato cha chini na cha kati baada ya kutoridhishwa na Mswada wa Fedha wa mwaka 2026 uliowasilishwa bungeni. COTU inapendekeza wafanyakazi wanaopokea mshahara wa hadi shilingi elfu sitini kwa mwezi wapunguziwe kiwango cha ushuru wa  ili kuongeza kipato wanachobaki nacho kila mwezi. […]

WAKULIMA WA MAUA NCHINI WATAFUTA ONDOLEO LA USHURU HUKU KUKIWA NA HASARA YA SH200 MILIONI KILA SIKU

Sekta ya maua nchini Kenya imeshinikiza kupunguziwa kodi na hatua za haraka za usaidizi wa serikali, ikionya kwamba kupanda kwa ushuru chini ya Mswada wa Fedha wa 2026 unaopendekezwa kunaweza kuzidisha shinikizo kwa wakulima ambao tayari wanapambana na usumbufu wa usafirishaji unaohusishwa na mzozo wa Mashariki ya Kati. Kulingana na Baraza la Maua nchini, sekta hiyo inapoteza wastani […]

SWEDEN WATEGEMEA ISAK NA GYOKERES KATIKA KOMBE LA DUNIA

Timu ya taifa ya Sweden inatarajia safu yao ya ushambuliaji ikiongozwa na Alexander Isak na Viktor Gyokeres kuwasaidia kufanya vyema katika Kundi F la Kombe la Dunia mwaka huu. Timu hiyo chini ya kocha Graham Potter itachuana na Uholanzi, Japan pamoja na Tunisia nchini Marekani, Canada na Mexico. Sweden walifika fainali hizo kwa njia ngumu baada ya […]

ANN ALUOCH ASIFIA MAFANIKIO YA MATHARE UNITED WOMEN

Kocha wa Timu ya wanawake ya  Mathare United Ann Aluoch amesema mwanzo mzuri wa msimu, juhudi za wachezaji pamoja na usaidizi wa uongozi wa klabu vilichangia mafanikio ya timu hiyo katika Ligi ya Taifa ya Daraja la Kwanza kwa wanawake. Mathare United walitwaa ubingwa wa Kanda A na kufuzu kushiriki ligi kuu baada ya kucheza mechi 21 […]

KENYA YAIMARISHA AZMA YA KUANDAA MASHINDANO YA RIADHA DUNIANI

Kenya imeongeza juhudi za kuwania kuandaa Mashindano ya Dunia ya Riadha ya mwaka 2029 au 2031 baada ya Katibu Mkuu wa Michezo Elijah Mwangi kukutana na ujumbe wa shirrikisho la Riadha Duniani jijini Nairobi. Ujumbe huo ulioongozwa na Antti Pihlakoski ambaye ni mwenyekiti wa jopo la tathmini ya zabuni ulifanya mazungumzo na maafisa wa michezo nchini kuhusu […]

MWANAUME MACHKOS ATAKA HAKI BAADA YA KUCHOMWA NDEVU

Mwanaume mmoja mjini Machakos anayefahamika kama John Kyalo anataka haki baada ya kuvamiwa na kuchomwa ndevu alipokuwa amepumzika katika eneo moja mjini humo. Kyalo amesema mtu anayedai kumfahamu aliwasha moto kwenye ndevu zake ambazo amekuwa akizitunza kwa miaka mingi. Tukio hilo sasa limezua mjadala huku akiitaka sheria kuchukua mkondo wake dhidi ya mhusika. Imetayarishwa na Cyrus […]