UHABA WA MALAZI WAIBUKA WAJIR KABLA YA MADARAKA DEI
Mji wa Wajir unakabiliwa na uhaba mkubwa wa malazi kuelekea sherehe za kitaifa za Madaraka Day zitakazoongozwa na Rais William Ruto Jumatatu ijayo. Maelfu ya wageni kutoka maeneo mbalimbali nchini wanatarajiwa kuhudhuria hafla hiyo wakiwemo viongozi wa kitaifa, maafisa wa usalama pamoja na wanamuziki. Hoteli na nyumba nyingi za wageni mjini humo zimeripotiwa kujaa mapema […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































