MUSALIA AONYA WAKENYA KUHUSU EBOLA
Waziri mkuu Musalia Mudavadi amewataka wakenya kufuata maagizo yanayotolewa na wizara ya Afya kufuatia mulipuko wa ugonjwa wa Ebola ulioripotiwa katika mataifa jirani ya Uganda na Demokrasia ya Congo DRC. Akizungumza katika kaunti ya Morang’a Mudavadi amesema japo kenya haijaripoti kisa chochote cha Ebola uzembe unaweza kuhatarisha taifa hivyo wananch wanapaswa kujitahadhari katika muingiliano wa […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































