KITHURE AWAONYA WAPINZANI
Naibu rais Kithure Kindiki amewahakikishia wakenya kuwa serikali inaangazia pakubwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo badala ya kujitosa katika kampeni za uchaguzi mkuu ujao. Kithure ameyasema haya kwenye mkutano na viongozi wa kaunti ya Nyandarua katika makazi yake rasmi mtaani Karen jijini Nairobi. Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































