SEKTA YA MIFUGO KUNUFAIKA KUPITIA MPANGO WA DRIVE
Sekta ya mifugo nchini imepata afueni baada ya Mpango wa DRIVE kutenga shilingi milioni 519 ili kupunguza hatari za ufugaji na kuongeza ushirikishaji wa jamii katika kuongeza thamani ya bidhaa za mifugo. Mpango huu unaoongozwa na Shirika la Maendeleo la Kenya (KDC) kwa usaidizi wa Benki ya Dunia, umezinduliwa jijini Nairobi katika mkutano wa wadau […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































