OCHIENG AFURAHISHWA NA UCHEZAJI WA TIMU YAKE
Kocha mkuu wa Strathmore Blades Tony Ochieng amefurahishwa na uchezaji wa timu yake wikendi katika mechi za Ligi Kuu ya Kikapu ya Kitaifa ya Kenya baada ya kushinda moja na kupoteza nyingine. Wanafunzi hao waliwashinda NBK Phoenix 70-55 kabla ya kuangukia 76-86 dhidi ya wenzao wa chuo kikuu cha UoN Terror wikendi. Wakati huo huo, […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































