WAPITA NJIA, BODA BODA 6 WAUAWA KERICHO-KISUMU
Watu 6 wamefariki papo hapo huku wengine 4 wakijeruhiwa baada ya kugongwa na lori katika soko la Kipsitet kwenye barabara ya Kericho kuelekea Kisumu usiku wa kuamkia leo. Kamanda wa polisi kaunti ndogo ya Sigowet/Soin Lawrence Kisini amesema lori hilo lilikuwa likielekea upande wa Kisumu kabla ya kupoteza mwelekeo na kuwagonga wapita njia na wahudumu […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































