MURKOMEN ATETEA ‘JUKWAA LA USALAMA’
Serikali imeendeleza juhudi zake za kuwahamasisha wakenya kuhusu jukumu lao la kuhakikisha usalama nchini mbali na kuchukua malalamishi ya wakenya kuhusu changamoto za kiusalama. Kwa sasa Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen yuko katika kaunti ya Kisii ambako anafanya kikao maarufu kama jukwaa la usalama, akitetea vikao hivyo dhidi ya shutuma kwamba vinatumika kufuja fedha za […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































