UFICHUZI MPYA KWENYE KESI YA REX

Kesi kuhusu mauaji ya kijana Rex Maasai imechukua mwelekeo tofauti, baada ya mahakama kufahamishwa kwamba risasi iliyomwua haikufyetuliwa na bastola yoyote kati ya 3 zilizowasilishwa na mamlaka ya IPOA kwa uchunguzi katika maabara ya DCI. Kulingana na mtaalamu wa udadisi wa silaha katika maabara ya DCI Alex Mwandawiro, hayo yameiweka kwenye njia panda ripoti iliyochukuliwa […]

HAALAND AINGAMIZA UNITED, LIVERPOOL KILELENI

Mshambulizi wa Manchester City Erling Haaland alifunga mara 2 na kuzidisha masaibu katika klabu ya Manchester United, ambao walipokezwa kichapo cha mabao 3:0 katika mechi ya ligi kuu nchini Uingereza jana jioni. Phil Foden alianzisha ufungaji wa mabao katika dakika ya 18 kabla ya Haaland kuingilia kati na kuwakandamiza United, ambao sasa wamepoteza mechi 3 […]

KCB RFC WATAWAZWA MABINGWA WA DALA 7S, NATIONAL CIRCUIT

Klabu na raga ra KCB RFC ndio mabingwa wa kipute cha 2025 Dala 7s baada ya kustahimili ushindani kutoka kwa mahasimu wao Kabras RFC kwa ushindi wa 12-7 katika fainali za mashindano hayo kwenye uwanja wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Kisumu. Kabla ya ubingwa huo, wanabenki hao tayari walikuwa wametawazwa mabingwa wa jumla wa […]

KENYA YAONGOZA KWA DHAHABU JAPAN, TANZANIA WAFUATA

Wanariadha Abraham Kibowott na Edmund Serem watapeperusha bendera ya Kenya hii leo katika mashindano ya ubingwa wa riadha ulimwenguni jijini Tokyo Japan, watakapoingia uwanjani kushiriki mbio za mita 3,000 kuruka viunzi na maji kwa wanaume. Mbio hizo zitaanza majira ya 3:55pm saa za Afrika Mashariki, wakenya wakikabiliwa na ushindani kutoka kwa wenzao Lamecha Girma wa […]

GACHAGUA ATANGAZA AZMA YA URAIS

Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua hatimaye ameweka wazi kwamba atawania urais kwenye uchaguzi mkuu ujao, akiahidi kudhibiti deni linalolikabili taifa mbali na kuimarisha uchumi wa nchi iwapo atachaguliwa. Kulingana na kiongozi huyo wa chama cha DCP, atafuata nyayo za rais mstaafu marehemu Mwai Kibaki, mbali na kufutilia mbali baadhi ya sera zilizowekwa na rais William […]

POLISI WACHUNGUZA MAUAJI YA TALANTA

Polisi katika eneo la Nairobi area wanaendesha uchunguzi kubaini kiini cha kifo cha mfanyakazi wa ujenzi katika uwanja wa michezo wa Talanta ambaye mwili wake ulipatikana uwanjani humo Jumamosi asubuhi na wajenzi wenzake. Mwili wa Sammy Kyengo mwenye umri wa miaka 35, uligunduliwa kwenye kidimbwi cha maji wiki moja baada ya mkewe kuripoti kutoweka kwake. […]

APOSTLE MANYURU AITAKA SERIKALI KUJUKUMIKA

Wito umeendelea kutolewa kwa serikali kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi ikiwemo kuweka mikakati itakayohakikisha utendakazi mwafaka kwa wananchi. Wa hivi punde kutoa wito huo ni mwenyekiti wa Muungano wa Pentecostal Voice of Kenya PVK, Apostle Peter Manyuru, akiitaka serikali kuchukua hatua haraka za haraka kuhusu madai ya ufisadi kwenye Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA), ili kuimarisha sekta ya afya. Akizungumza na wanahabari, Manyuru ambaye […]

KIZINGITI KWENYE UCHUNGUZI WA MAUAJI YA WAKILI

Ukosefu wa kamera za CCTV kwenye barabara ya Magadi jijini Nairobi ndicho kizingiti kinachochelewesha kukamatwa kwa washukiwa wa mauaji ya wakili Kyalo Mbobu aliyeuawa kwa risasi wiki jana. Haya ni kwa mujibu wa Waziri wa usalama wa kitaifa Kipchumba Murkomen, hasa baada ya wakenya kulalamikia kucheleweshwa huku ikilinganishwa na uchunguzi katika mauaji ya aliyekuwa mbunge […]

Analisi approfondita della velocità di pagamento e della sicurezza nei casinò online non AAMS

Analisi approfondita della velocità di pagamento e della sicurezza nei casinò online non AAMS Nel mondo dei giochi d’azzardo digitali, la rapidità dei pagamenti è diventata un fattore decisivo per i giocatori. Troppo spesso si sceglie un sito solo per il bonus benvenuto, ma poi si rimane bloccati da prelievi lenti o procedure poco chiare. […]

8 strategie vincenti per scegliere le slot non AAMS su Cinquequotidiano

8 strategie vincenti per scegliere le slot non AAMS su Cinquequotidiano Le slot a tema sono il cuore pulsante dei casino online non AAMS. Dal deserto egizio alle vette di Valhalla, ogni gioco racconta una storia che può trasformare una semplice puntata in un’avventura memorabile. Ma come scegliere le slot più adatte alle proprie esigenze, soprattutto […]