KILIO CHA WAFANYABIASHARA TOI
Wafanyibiashara wa mitumba katika soko la Toi, mtaani Kibera, jijini Nairobi wameibua wasiwasi kuhusu hasara wanayopata kutokana na kodi wanaotozwa kila wakati wanaponunua bidhaa. Wamelalamika madai ya kunyanyaswa mara kwa mara na maafisa kutoka katikaserikali ya kaunti ya Nairobi, hali wanayosema imechangia wenzao kuachabiashara. Hata hivyo, wakiongozwa na Philp Wambua, wamelalamikia changamoto zikiwemo viwango vya juu vya kodi, mazingira mabovu ya kazi na ukosefu wa taa za barabarani. Aidha, wafanyabiashara hao wamelazimika kuongeza bei kwa […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































