Wabunge Nairobi wateta kuhusu uteuzi wa KDF
Jumla ya wabunge 18 kutoka kaunti ya Nairobi wamekosoa ratiba ya usajili wa makurutu wa kujiunga na jeshi la ulinzi KDF, wakisema ratiba hiyo inakiuka sheria kuhusu usawa na ujumuishaji jinsi ilivyo kwenye katiba. Kupitia waraka, wabunge hao wamesema kuwa vituo 3 pekee vya usajili ambavyo ni uwanja wa Nyayo, Kasarani na jamhuri Grounds ni […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































