HATUA ZAPIGWA KATIKA UCHUNGUZI WA MAUAJI NAIROBI
Polisi wamesema wamepata kanda muhimu za video kutoka maeneo kadhaa yakiwemo majengo ya kibinafsi zinazoonyesha hatua za mwisho za wakili aliyeuawa jijini Nairobi Kyalo Mbobu, ambazo wanasema zitasaidia katika uchunguzi wa mauaji hayo. Kulingana na polisi, mwendazake alifanya mkutano kwa takribani saa 3 katika mkahawa mmoja kwenye barabara ya Milimani na watu ambao sasa wamejumuishwa […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































