MAUAJI YA WAKILI YAIBUA MASWALI
Polisi jijini Nairobi wanachunguza mauaji ya kikatili ya wakili Kyalo Mbobu, aliyepigwa risasi na kuuawa papo hapo kwenye barabara ya Langa’ata na mtu aliyekuwa akitumia pikikipiki usiku wa kuamkia leo. Walioshuhudia wanasema wakili huyo alikuwa pekee yake kwenye gari hilo, mauaji hayo yakikosolewa na chama cha wanasheria nchini LSK ambayo imeyataja kuwa tishio kwa utendakazi […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































