USALAMA KUIMARIKA KERIO VALLEY
Juhudi za serikali za kurejesha utulivu katika eneo la Kerio Valley zimeendelea kuzaa matunda, baada ya jamaa mmoja aliyekiri kuwa mhalifu sugu kujisalimisha kwa polisi akitangaza kwamba ameasi Maisha ya uhalifu. Mwanaume huyo, kwa jina la Arthur Komen mwenye umri wa miaka30, alijiwasilisha katika kituo cha polisi cha Tot kaunti ya Elgeyo Marakwet alikopeana bunduki na risasi kabla ya kukabidhiwa kwa viongozi […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































