WAKAZI KUKWAMISHWA NA MCHEZO
Wakazi wa jiji la Nairobi wametatizika kusafiri kutoka na msongamano wa magari, uliosababishwa na kufungwa kwa baadhi ya barabara ili kuruhusu maandalizi ya mechi ya soka baina ya timu ya taifa Harambee Stars na the Gambia itakayochezwa leo katika uwanja wa Kasarani. Idara ya trafiki imetangaza kufunga barabara kadhaa, watumiaji ya barabara kuu ya Thika […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































