BRYNE OMONDI APONGEZA UTEUZI WA WACHEZAJI CHIPUKIZI
Kipa wa Harambee Stars, Bryne Omondi, amepongeza uteuzi wawachezaji chipukizi kwenye kikosi cha timu ya taifa kilichoitwa nakocha Benni McCarthy.Omondi amesema ujio wa wachezaji wachanga ndani ya timu ya taifautawapa motisha vijana wengine nchini kuendelea kujituma ilikutimiza ndoto zao za kuchezea Stars.Miongoni mwa wachezaji wapya walioitwa ni mshambuliaji JobOchieng, anayesakata soka nchini Hispania na klabu […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































