FAMILIA ZAACHIWA KUWASAKA WAPENDWA WAO

Shughuli za kuwasaka watu 10 wanaohofiwa kukwama kwenye udongo kufuatia maporomoko ya ardhi katika eneo la Chesongoch kaunti ya Elgeyo Marakwet zinaendelea huku serikali ikiratibu tarehe 21 mwezi huu kuwa siku ya kuwazika walioangamia. Shughuli hizo zinaendelezwa na familia za waathiriwa na Wakazi, baada ya maafisa wa serikali kuondoka ikiwa ni wiki moja tangu kutokea […]

Ruletka doświadczenie 2025 – wszystko, co musisz wiedzieć

Zbliżamy się do roku 2025, a w świecie kasyn online pojawi się nowe, ekscytujące doświadczenie – Ruletka doświadczenie 2025. Czy to będzie kolejny przełom w świecie gier kasynowych? Jakie są zasady gry, jakie są szanse na wygraną i gdzie można spróbować swojego szczęścia? Dowiedz się wszystkiego, co musisz wiedzieć na temat Ruletki doświadczenie

 UPINZANI WAMPUUZA RUTO

Muungano wa upinzani nchini umepuzilia mbali kauli ya rais William Ruto kwamba hauna mwelekeo wa kisiasa, ukisema lengo lao ni kutwaa uongozi wa taifa hili kupitia uchaguzi mkuu ujao. Wakiongozwa na aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua, viongozi wa upinzani wamesema kuwa kauli za rais Ruto zinatokana na mapokezi ya kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka nyumbani […]

UCHUNGUZI: KWS NDIO WALIKUWA WA MWISHO NA ODHIAMBO

Mchakato wa kupata haki kwa familia ya mvuvi aliyetoweka katika mbuga ya wanyamapori ya Lake Nakuru Brian Odhiambo umeanza kupata mwelekeo, afisa wa polisi anayechunguza tukio hilo Julius Muhuri akiwatambua maafisa 6 wa KWS kama watu wa mwisho walioonekana na Odhiambo kabla ya kutoweka kwake. Afisa huyo ameiambia mahakama kwamba kulingana na uchunguzi, signal ya […]

IVAN JURIC, AFUTWA KAZI

Kocha raia wa Croatia, Ivan Juric, ametimuliwa kazi na klabu yaAtalanta baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo za Serie A, haliiliyowaacha katika nusu ya chini ya jedwali Atalanta walipokea kichapo cha mabao 3–0 nyumbani dhidi yaSassuolo siku ya Jumapili, matokeo yaliyowashusha hadi nafasi ya 13kwenye msimamo wa ligi. Klabu hiyo ya Bergamo ilikuwa imeanza msimu […]

KIKOSI CHA DEAFLYMPICS CHA TARAJIWA KUTOKA NCHINI HII LEO

Kikosi cha kwanza cha wanariadha na maafisa wa Kenya kinatarajiwakuondoka nchini hiieo kuelekea Tokyo, Japan, kwa ajili ya mashindanoya Deaflympics ya majira ya kiangazi ya mwaka 2025, yatakayofanyikakuanzia Novemba 15 hadi 26.Mashindano hayo ambayo ni ya 25 tangu kuanzishwa kwake,yatahusisha mataifa mbalimbali, huku Kenya ikishiriki katika michezomitano kati ya 21 itakayoshindaniwa — ikiwemo riadha, mpira […]

TWAHIR MUHIDDIN, AMEPONGEZA MWENENDO WA GOR MAHIA,

Aliyekuwa kocha wa timu ya taifa ya Harambee Stars, TwahirMuhiddin, amepongeza mwenendo wa Gor Mahia, akisema viongozihao wa Ligi Kuu ya Soka Kenya (KPL) wanaonekana kuwa katika halibora ya kutwaa tena ubingwa walioupoteza kwa Kenya Police FCmsimu uliopita.Gor Mahia, maarufu kama K’Ogalo, kwa sasa wana alama 16,wakiongoza ligi kwa tofauti ya pointi moja mbele ya […]

MAZISHI YA WALIO FARIKI KWENYE MAPOROMOKO YARATIBIWA KUFANYIKA 21 MWEZI HUU

Serikali imetangaza tarehe 21 mwezi huu kuwa siku ya mazishi kwa wale ambao miili yao imepatikana baada ya  maporomoko katika kaunti ya Elgeyo Marakwet huku familia ambazo hajizapata miili ya wapendwa bado zikihangaika. Hata hivyo hali ya majonzi bado inawagubika wakazi wa Chesongoch, kaunti ya Elgeyo Marakwet ambao hadi sasa hawajawapata wapendwa wao baada ya mafuriko […]

TUME YA EACC NA WASHIKADAU WA UCHUNGUZI WA ULANGUZI WA PESA WAKUTANA JIJINI NAIROBI

Warsha ambayo  inalenga kuimarisha ushirikiano na mikakati ya pamoja ya kukabiliana na ulanguzi wa fedha imefanyika hii leo jijini Nairobi. Tume ya maadili na  kupambana na ufisadi hapa nchini EACC, pamoja na washikadau wengine kutoka Afrika mashariki na kusini wa uchunguzi wa ulanguzi wa pesa wamekutana   jijini Nairobi kwenye warsha ya kanda ya kushughulikia ulanguzi wa pesa na kurejesha mali ya umma  iliyoibiwa.  […]

KESI YA CHUKI DHIDI YA SALASYA KUENDELEA, MAHAKAMA

Kesi ya kuhusu matamshi ya uchochezi inayomkabili mbunge wa Mumias East Peter Salasya itasikilizwa kikamilifu na mahakama na wala haitatatuliwa nje ya mahakama. Katika kikao cha leo, hakimu Paul Mutai ametoa uamuzi huo baada ya mazungumzo ya upatanishi baina ya mbunge huyo na tume ya utangamano wa kitaifa NCIC kufeli, kesi hiyo sasa ikirataibiwa kusikilizwa […]