SHUJAA WAIMARISHA JUHUDI ZA KUPANDISHWA DARAJA HSBC
Timu ya taifa ya raga ya wachezaji 7 kila upande, Shujaa, imefunga mkondo wa pili wa mashindano ya HSBC SVNS divisheni ya pili kwa ushindi, baada ya kuwatandika wenyeji Uruguay 22-14 usiku wa manane. Kwa jumla, Shujaa wameandikisha ushindi mara 3 na kupoteza mechi 2, ushindi mwingine ukijiri dhidi ya Canada na Ubelgiji. Baada ya […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































