APS BOMET YAICHAPA BANDARI KWA MABAO MAWILI

Mshambuliaji Hillary Juma aliiongoza APS Bomet FC kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Bandari FC katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Kwale. Mechi hiyo ndiyo pekee ya ligi kuu kuchezwa baada ya FKF kuahirisha michezo mingine kutokana na changamoto za usafiri zilizosababishwa na vurugu za sekta ya uchukuzi. Juma alifunga bao la kwanza dakika ya […]

OKIDI AAMINI MOMBASA UNITED ITASHINDA DERBY

Kocha wa Mombasa United Peter Okidi amesema ana imani kubwa timu yake itaibuka na ushindi dhidi ya Mwatate United katika mechi ya derby itakayochezwa Jumapili katika Uwanja wa Wundanyi. Okidi amesema ushindi wao wa mabao 2-1 dhidi ya Nairobi City Stars umeongeza morali na kuimarisha mshikamano ndani ya kikosi. Kocha huyo pia amewataka washambuliaji kutumia […]

TUJU ASALIA MASHAKANI

Mahakama kuu imesitisha ombi la aliyekuwa  Waziri wa zamani na katibu mkuu wa chama cha Jubilee  Raphael Tuju la kusimamisha mnada wa  baadhi ya mali zake zilizopo Karen jijini Nairobi, Mahakama hiyo inasema haiwezi kubatilisha uhamisho wa mali ambao tayari ulikuwa umefanyika kisheria katika mchakato wa kurejesha deni analodaiwa na Benki. Katika uamuzi huo, Jaji Moses Ado […]

MSHUKIWA WA  KIFO CHA RECHAEL ATAENDELEA KUSALIA KOROKORONI KWA SIKU 21

Wachunguzi wa kesi za jinai DCI wanaopeleleza kesi ya mauaji ya mwanamziki Rechael Wandeto wameomba mahakama kuwapa siku 21 kuendelea kumzuilia mshukiwa Josiah Njeru Njiri aliyekamatwa jana kwa kuhusishwa na tukio la kuchomwa moto kwa mwanamziki huyo aliyeaga dunia  alipokuwa akipokea matibabu  katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta. Njiru ambaye ni dereva wa teksi amefikishwa […]

RAIS RUTO AONGOZA HAFLA YA KUGAWANYA HATI MILIKI ZA ARDHI MOMBASA

Rais William Ruto amekitaja kifo cha  mwanamziki wa injili Rechael Wandeto kuwa kilichangiwa na siasa za ukabila na chuki  nchini. Akizungumza katika kaunti ya Mombasa wakati wa kugawanya hati miliki za ardhi Ruto amekosoa upinzani kwa kuendeleza siasa ambazo amesema zinachangia migawanyiko na chuki niongoni mwa wakenya akisema wote waliohusika kwa mauaji ya Wandeto watakabidhiwa […]

ASTON VILLA WATWAA UBINGWA WA EUROPA LEAGUE

Aston Villa wamehitimisha ukame wa mataji wa miaka 30 baada ya kuichapa SC Freiburg mabao 3-0 katika fainali ya UEFA Europa League Final iliyochezwa mjini Istanbul. Mabao ya Youri Tielemans, Emiliano Buendia na Morgan Rogers yaliihakikishia timu hiyo ushindi mkubwa dhidi ya Freiburg. Huu ni ubingwa wao wa kwanza mkubwa barani Ulaya baada ya miaka […]

ELIUD KIPCHOGE KUSHIRIKI CAPE TOWN MARATHON

Eliud Kipchoge anatarajiwa kushiriki mbio za Cape Town Marathon Jumapili nchini Afrika Kusini  katika harakati za kuongeza historia nyingine katika taaluma yake. Bingwa huyo mara mbili wa Olimpiki amewasili mjini Cape Town tayari kuipa mbio hiyo hadhi zaidi huku waandalizi wakisaka kuitambua kama mbio za kwanza Afrika kuingia kwenye mashindano ya Abbott World Marathon Majors. Mashindano hayo pia […]

WACHEZAJI WAPYA WAPATA NAFASI KWENYE LIONESSES

Mchezaji Maria Gorette wa Guins Queens anaongoza kundi la wachezaji wanane wapya walioitwa kwenye kikosi cha Kenya Lionesses kwa mashindano ya Rugby Africa Women’s Cup yatakayofanyika katika viwanja vya RFUEA Grounds jijini Nairobi kuanzia leo hadi tarehe 31 mwezi huu. Kocha Simon Odongo amesema kujumuishwa kwa wachezaji hao wapya kunaonyesha ukuaji wa vipaji kutoka mashindano ya humu nchini […]

RUTO KUANZA ZIARA YA MAENDELEO MKOA WA PWANI

Rais William Ruto amewasili nchini na anatarajiwa kuanza ziara ya siku tano ya maendeleo katika mkoa wa Pwani, akitembelea kaunti sita. Katika ziara hiyo, serikali inasema Rais atazindua na kukagua miradi mbalimbali pamoja na kukabidhi miradi iliyokamilika kwa wananchi. Huko Lamu, Ruto anatarajiwa kuzindua soko la samaki la Kizingitini, pamoja na miradi mingine ikiwemo barabara na mradi wa stima […]

EPRA YAHAKIKISHA HAKUNA UPUNGUFU WA MAFUTA

Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Petroli EPRA imesema Kenya ina akiba ya mafuta ya kutosha kudumu angalau mwezi mmoja licha ya changamoto za usambazaji duniani. Mkurugenzi wa mafuta na gesi Edward Kinyua amesema nchi ina akiba ya dizeli na petroli ya kutosha pamoja na meli kadhaa zilizoko tayari kushusha shehena katika bandari ya Mombasa. Ameongeza […]