MABADILIKO KATIKA ULINZI WA RAIS RUTO BAADA YA HITILAFU YA KIUSALAMA

Huduma ya Polisi imefanya mabadiliko katika kikosi cha usalama wa Rais William Ruto baada ya hitilafu ya kiusalama iliyotokea Kaunti ya Kilifi Katika tukio hilo, kijana mmoja alivunja ulinzi wa rais na kufika karibu na jukwaa wakati Rais alipokuwa akihutubia wananchi. Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Rais Noah Maiyo amehamishwa kwenda makao makuu ya […]

MWILI WA MWANAMKE WAPATIKANA KWENYE MFUKO WA PLASTIKI EMBAKASI

Maafisa wa upelelezi katika eneo la Embakasi wanafanya uchunguzi baada ya kiwiliwili cha mwanamke kupatikana ndani ya mfuko wa plastiki kando ya Barabara ya North Airport karibu na uzio wa uwanja wa ndege. Polisi walisema mwili huo uliokuwa umeanza kuoza ulipatikana karibu na kituo cha mafuta katika eneo hilo, huku kichwa cha marehemu kikikosekana. Kamanda […]

KESI DHIDI YA  GACHAGUA INAENDELEA KUSIKIZWA MILIMANI

 Kesi ya kubanduliwa mamlakani kwa aliyekuwa Naibu wa Rais Rigadhi Gachagua inaendelea kusikizwa  sasa hivi katika mahaka ya milimani jijini Nairobi. Upande wa mashtaka ukijibu maswali yaliyoibuliwa na mawakili wa Gachagua huku bunge la kitaifa, seneti na upande wa naibu rais profesa kithure kindiki ukiwasilisha ushaidi wao kuwa kubanduliwa kwa Gachagua  kulifuata haki. Imetayarishwa na […]

KINDIKI ATETEA SERIKALI YA RUTO KWA WAKENYA HUKO ELGEYO MARAKWET

Naibu wa Rais Profesa Kithure Kindiki anasema serikali imefanya kila juhudi za kushukisha bei za mafuta ila vita vya izraeli na marekani  dhidi ya Iran ndivo vimesababisha kupanda kwa bidhaa hizo. Akizungumza katika kaunti ya Elgeyo Marakwet,Kindiki anasema serikali inafanya kila iwezavyo kushukisha bei ya bidhaa hivyo na kuhakikisha inashukisha ushuru wake na kutenga fedha […]

SERIKALI YAJITETEA KUWAKINGA WAKENYA NA MAKALI YA BEI ZA MAFUTA

Ruto anasema kutokana na kuendelea  kuongeza kwa bei za mafuta duniani serikali yake imetumia takribani shilingi bilioni kumi na tatu za hazina ya maendeleo ya mafuta kuwakinga wakenya na gharama hizo huku akiongeza kwamba serikali yake imepunguza kodi ya thamani ya ziada kutoka asilimia kumi na sita hadi asilimia nane akisema katika mwezi wa Aprili […]

RUTO ATANGAZA PUNGUZO LA BEI YA DIESEL KUANZIA MWEZI UJAO

Rais William Ruto ametangaza kuwa bei ya dizeli itapungua kwa shilingi 10 kwa lita katika marekebisho yajayo ya bei ya mafuta ya Juni–Julai. Akihutubia taifa kutoka Ikulu ya Mombasa, Rais amesema hatua hiyo inalenga kupunguza makali ya gharama ya maisha kwa wananchi, wafanyabiashara na sekta ya usafiri. Amesema serikali tayari imetumia shilingi bilioni 13.7 katika […]

ARTETA AELEZA FURAHA YA KUTWAA UBINGWA

Kocha wa Arsenal Mikel Arteta amesema kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England ni moja ya hisia bora kuwahi kupata maishani mwake. Arteta amesema hakuweza kutazama mechi ya Manchester City lakini alikuwa akisikia kelele kutoka ndani kabla mwanawe kufungua mlango na kumkimbilia huku akilia. Kocha huyo amesema mwanawe alimwambia kuwa Arsenal wametwaa ubingwa wa EPL kauli iliyogusa wengi baada ya Arsenal kutwaa ubingwa huo […]

RONALDO ASHINDA TAJI LAKE LA KWANZA SAUDI ARABIA

Cristiano Ronaldo ameshinda taji lake la kwanza la ligi nchini Saudi Arabia baada ya kuiongoza Al-Nassr kupata ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Damac FC katika mechi ya mwisho ya msimu. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 41 alifunga mabao mawili muhimu katika ushindi huo uliowapa taji la muda mrefu ambalo alikuwa akilikosa katika misimu miwili iliyopita […]

MBIO ZA KUPANDA LIGI KUU ZAPAMBA MOTO NSL

Mbio za kupanda moja kwa moja hadi Ligi Kuu ya FKF zimezidi kupamba moto katika Ligi ya Taifa Daraja la Kwanza huku timu tatu zikifungana kileleni zikiwa zimesalia mechi tano pekee. 3K FC, Migori Youth na Mombasa United zote zina alama 68 baada ya kucheza mechi 33, huku 3K FC wakiongoza kwa tofauti ya mabao. […]

NAIROBI CITY MARATHON YAVUNJA REKODI YA WASHIRIKI

Mashindano ya tano ya Nairobi City Marathon yatakayofanyika Juni 7 yamevutia rekodi ya washiriki 17,000 kutoka nchi 75 duniani, yakionyesha ukuaji mkubwa wa umaarufu wa tukio hilo Mashindano hayo yatakuwa na vipengele vinne ambavyo ni marathon ya kilomita 42, nusu marathon, mbio za kilomita 10 na 5, zikiwapa fursa wanariadha wa viwango tofauti kushiriki Mratibu […]