KRU YAWEKA MKAKATI WA KUIMARISHA RAGA YA WANAWAKE
Mwenyekiti wa chama cha Raga nchini Harriet Okach amesema kuwa kujenga utamaduni imara na endelevu wa rugby ya wanawake ni kipaumbele cha muda mrefu, huku akilenga kuinua mchezo wa wa wachezaji 15s kufikia kiwango cha mafanikio ya Sevens nchini Amesema mashindano ya Rugby Africa Cup yanayofanyika jijini Nairobi yanatoa nafasi muhimu ya ushindani na maendeleo, yakishirikisha Kenya, mabingwa watetezi […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































