MURKOMEN AWATAKA VIONGOZI KUSHIRIKIANA NA POLISI WAKATI WA SIASA
Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen, amewataka viongozi wa kisiasa nchini kuwa huru kuwasiliana na idara ya polisi kuhusu ratiba ya mikutano yao ili kuhakikishiwa usalama wakati wa mikutano hiyo. Akizungumza kwenye kikao cha mashauriano na tume ya IEBC kuhusiana na maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao, Murkomen amesisitiza kuwa suala la usalama ni jukumu […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































