MAN CITY WAWATIA ARSENAL KWENYE TANURI NA KICHAPO KWA PALACE
Manchester City waliandikisha ushindi rahisi wa mabao 3-0 dhidi ya Crystal Palace licha ya kocha mkuu Pep Guardiola kukichezesha kikosi cha akiba, na kuwatia viongozi wa EPL, Arsenal kwenye tanuri la moto. Guardiola alifanya mabadiliko 6 ya kikosi kilichowalaza Brentford mabao 3-0 wikendi iliyopita, na kuwaacha nje wachezaji wake mahiri kama vile Erling Haaland, Jeremy […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































