GACHAGUA, SIFUNA WADOKEZA KUSHIRIKIANA
Aliyekuwa naibu Rais Rigathi Gachagua na katibu mkuu wa ODM Edwin Sufuna, wamedokeza kuhusu uwezekano wa kushirikiana kwenye uchaguzi mkuu ujao katika azma yao ya kumng’oa mamlakani Rais William Ruto. Wakizungumza katika kaunti ya Nyeri, wawili hao wamesema muungano wa upinzani utalazimika kuzika tofauti zao iwapo unalenga kutimiza azma hiyo. Kauli yao inajiri huku utafiti […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































