RUTO AZINDUA KANGAMANO LA ELIMU NAIVASHA
Rais William Ruto amesisitiza mageuzi makubwa katika sekta ya elimu nchini, akieleza kuwa serikali inalenga kuhakikisha mfumo wa elimu unalenga ujuzi, ubunifu na mahitaji ya soko la ajira. Katika hotuba yake mjini Naivasha Ruto ametaja umuhimu wa taifa kueka mkazo kwenye ubora wa ufundishaji na mazingira bora ya kujifunzia ili kuinua viwango vya kitaaluma kwa wanafunzi wote nchini Ameahidi […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































