TATIZO LA UHABA WA MAFUTA NCHINI HATIMAYE LATATULIWA

Wahudumu wa magari ya umaa pamoja na wa kibinafsi sasa wana kila sababu yakutabasamu baada ya tatizo la uhaba wa mafuta lililoshuhudiwa nchini mapema leokutatuliwa huku hali ya kawaida ikiripotiwa kurejea katika vituo vya mafuta mbalimbalinchini.Katika taarifa kwa vyombo vya habari Waziri wa kawi Opiyo Wandayi anasema kuwauhaba huo ulisababishwa na hitilafu za kiufundi za […]

LINDA MWANANCHI WAKUTANA NA MAAFISA WA DCI KUHUSU USALAMA

Viongozi wa muungano wa Linda Mwananchi wakiongozwa na Gavana wa Siaya JamesOrengo pamoja na mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino wamekutana nauongozi wa maafisa wa uchunguzi wa kesi za jinai DCI jijini Nairobi hii leo, kujadili masualaya usalama na kueka mikakati za kusitisha vurugu nchini.Katika mazungumzo hayo, viongozi hao wameeleza wasiwasi wao kuhusu madai yakuwepo […]

KOMPANY AAHIDI MCHEZO ‘KUJITOLEA MHANGA’ DHIDI YA PSG

Pambano kali linatarajiwa leo usiku katika mechi ya mkondo wa pili wa semi fainali ya kombe la klabu bingwa bara Ulaya, miamba wa soka nchini Ujerumani Bayern Munchen watakapoialika bingwa mtetezi PSG. Kocha mkuu wa Bayern Vincent Kompany, ameahidi kuwa kikosi chake kitacheza mchezo wa kushambulia bila kujali tahadhari, jinsi walivyofanya katika mkondo wa kwanza […]

ARSENAL WAKATA KIU YA MIAKA 20 UEFA

Timu ya Arsenal ilikata tiketi ya kuingia fainali za kombe la klabu bingwa bara Ulaya kwa mara ya kwanza katika muda wa miaka 20, baada ya bao la Bukayo Saka kuwapa ushindi wa jumla ya mabao 2-1 dhidi ya Atletico Madrid kwenye semi fainali jana usiku. Timu hizo zilikutana kwa marudiano kwenye mkondo wa pili […]

TUSKER FC, NAIBOIS KUVAANA KPL

Jumla ya mechi nne za ligi kuu ya soka nchini, KPL, zimeratibiwa kusakatwa hii leo ligi hiyo inapokaribia ukingoni. Mechi hizo zilizofaa kusakatwa wikendi iliyopta, ziliahirishwa kutokana na awamu ya robo fainali ya kombe la FKF. Katika uwanja wa Police Sacco, wenyeji Kenya Police wataikaribisha Murang’a Seal wakilenga kulipiza kisasi kufuatia kichapo cha bao 1-0 […]

WAFANYAKAZI WATAKA “COTU’ MBADALA

Kundi la wafanyakazi nchini likiongozwa na aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua, limependekeza kubuniwa kwa muungano mbadala wa vyama vya wafanyakazi kutoa ushindani kwa ule wa COTU, kwa misingi kwamba COTU imeshindwa kuwawakilisha wafanyakazi ipasavyo. Miongoni mwa misingi ya kubuniwa kwa muungano huo ni madai kwamba katibu mkuu wa COTU Francis Atwoli, imeshirikiana na serikali ya […]

SIFUNA APATA MWANGA MPYA

Katibu mkuu wa ODM na ambaye ni seneta wa Nairobi Edwin Sifuna, amepata afueni ya muda kufuatia uamuzi mpya wa jopokazi la kutatua migogoro ya vyama vya kisiasa kwamba hatua zozote za kumtimua kutoka wadhifa wa chama hicho usitishwe hadi kesi aliyowasilisha itakaposikilizwa na kuamuliwa. Akitoa agizo hilo, kaimu mwenyekiti wa jopokazi hilo Gad Gathu, […]

UCHUNGUZI ZAIDI KUFANYIWA MWILI WA OBWAKA

Familia ya aliyekuwa mkurugenzi wa Nairobi Hospital, Daktari Job Obwaka, sasa inasubiri uchunguzi wa mwisho wa seli na tishu, mbali na kiwango cha sumu mwilini baada ya upasuaji wa maiti kuthibitisha kwamba alifariki kutokana na mshtuko wa moyo. Wanapatholojia ambao wamebainisha kuwa mwili wake haukuwa na majeraha ya nje, wamelazimika kufanya uchunguzi huo hasa baada […]

SERIKALI YAKANA ‘RIPOTI YA KNEC’

Imeibuka kwamba baadhi ya wanafunzi waliopelekwa katika shule za sekondari ya juu bila sare wala karo jinsi ilivyoagizwa na serikali, hawakuendelea na masomo yao baada ya kurejeshwa nyumbani. Kulingana na wanafunzi hao kutoka mitaa ya mabanda jijini Nairobi, walirejeshwa nyumbani baada ya kupelekwa na maafisa wa serikali, ukiwa ni muda mfupi baada ya baraza la […]

RUTO, SULUHU WASHUTUMIWA KWA KAULI

Kauli za Rais William Ruto na mwenzake wa Tanzania Samia Suluhu Hassan za kulenga kuwanyamazisha vijana wa kizazi cha Gen Z zimeibua shutuma katika ukanda wa Afrika Mashariki, wa hivi punde kushutumu kauli hizo akiwa jaji mkuu wa zamani David maraga. Kwenye mazungumzo ya hadhara alipokuwa mwenyeji wa Ruto nchini Tanzania, Samia alikiri kushauriana na […]