GAVANA WA MOMBASA AMEAGIZA KUAJIRIWA KWA WAHUDUMU WAPYA WA AFYA
Gavana wa Mombasa, Abdulswamad Nassir, ameagiza kuajiriwa kwa wahudumu wapya wa afya ili kuongeza idadi ya wafanyakazi katika vituo vya matibabu vya kaunti hiyo. Gavana Nassir amesema hatua hiyo inalenga kuboresha utoaji wa huduma za afya na kupunguza changamoto ya upungufu wa wahudumu katika hospitali na vituo vya afya. Hatua hiyo imechukuliwa wakati sekta ya […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































