RAIS AONGOZA UZINDUZI WA MRADI WA NYOTA MOMBASA
Vijana katika kaunti ya Mombasa wamepatiwa fedha za kuanzisha biashara kupitia Mradi wa Nyota katika hafla iliyoongozwa na Rais William Ruto jijini Mombasa.
Kupitia mpango huo, vijana walipokea ruzuku ya shilingi elfu ishirini na tano kila mmoja kama mtaji wa kuanzisha au kukuza biashara zao.
Mradi huo unalenga kuwawezesha vijana kutoka kaunti za Mombasa, Kwale na Taita Taveta kwa kuwapa mtaji na fursa za kujiajiri ili kuboresha maisha yao kiuchumi.
Imetayarishwa na Cyrus Sifuna
English 





























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































