#Local News

WAATHIRIWA WA MAFURIKO TRANS NZOIA WATAKA KUHAMISHWA

Waathiriwa wa mafuriko katika eneo la Namanjalala, kaunti ya Trans Nzoia, wanataka kuhamishiwa katika maeneo salama kufuatia athari kubwa za mafuriko.

Wakazi hao wanasema maisha yao yako hatarini huku wakikosa makazi ya kudumu baada ya mafuriko kuharibu makazi yao.

Mafuriko hayo yalisomba nyumba pamoja na mali zao, na kuwaacha wengi bila makazi wala mahitaji ya msingi.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *